Kamuhanda na Chagonja watakanusha kuwa hakuna askari aliyeanguka hapo. Nchi ya unknown flying objects hii!!!
Ni sehemu ya mazoezi yao ya kila siku.Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?
Nauliza tu! Ndimi Bazazi!
Nimetumiwa kwa njia ya email na mdau mmoja picha ya askari polisi akiburutwa na gari lao. Picha ya lini hii jamani na kama ni kweli (sio photoshopping) tunaelekea wapi iwapo polisi wameanza kutojaliana wao kwa wao? Sisi raia tutapona kweli?