LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,303
Hii ndio picha ya msanii Linah Sanga, akiwa amelaliwa kimahaba na mwanamke mwenzake. Lina Sanga alipost picha hii kwenye akaunti yake ya INSTAGRAM na kuzua maswali mengi kwa mashabiki wake.
SOURCE :LINAH AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUTUPIA PICHA AKIWA AMELALIWA NA MSICHANA MWENZAKE MGONGONI.. | MNYETISHAJI