Picha ya leo

Picha ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,083
Reaction score
34,859
12346378_836359153143722_2024100067546976325_n.jpg
 

Attachments

  • Picha ya leo.jpg
    Picha ya leo.jpg
    54.3 KB · Views: 741
Kena photo chaaaaaaaaaaaaaaaa! Ekotite, ekotitee kawimbo katamu Mpao ni noumer
 
Only Nyerere is not there...May his soul rest in peace.
 
Ben amekaa kibabe sana !!

Huyo Mzee Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Tatu Benjamin William Mkapa NAMPENDA KUNAKOTUKUKA Kwani Binafsi Napenda Mno Mtu au Kiongozi MBABE Na Wababe Wote Duniani Ndiyo Role Models Wangu.
 

Nikisema Kuna Watu Wazima Wasomi Lakini Ni MAPOPOMA Wa KUTUKUKA Huwa Hamniamini. Angalieni Kwa Umakini Hiyo Picha Mtaona Kuna Watu Wanapiga " EKOKITEE " Selfie Huku Hao Marais Wakiwa Wamewapa MGONGO. au Kamera Zao Ukimpiga Mtu KIMGONGO MGONGO Automatically Zinamgeuza Na Anaonekana Kwa Mbele? Watanzania Sijui Ni Lini Tutaacha USHAMBA.
 
no
huyu mrefu ndiyo ana akili kuzidi wote, ameweza kupangilia matukio na kuwachezea watanzania zaidi ya 45 mil. Akil


sheria ya inchi inampatia mamlaka hayo, labda tuanzie hapo 'bolded'
 
Mu 7 kafanya nao kazi wote hao na atashiriki kuapishwa kwa mrithi wa JPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom