Crane ilihusika hapo mkuuMh!! Binadamu kwa ubunifu,nawaza material za kujenga zilivyopandishwa!!
Crane ilihusika hapo mkuu
Kama unaishi dar utakuwa umeona jinsi gani majengo marefu yanajengwa siku hzi hakuna kubeba zegeOk,ila hiyo crane kuipandisha japo ni vipande vipande nayo ni shughuli au walitumia helcopta?
Kama unaishi dar utakuwa umeona jinsi gani majengo marefu yanajengwa siku hzi hakuna kubeba zege
Mh!! Binadamu kwa ubunifu,nawaza material za kujenga zilivyopandishwa!!
Jiulize zile pyramids za Misri zilijengwaje na zimejengwa kwa mawe...
Naskia tofali/jiwe moja kwenye piramidi,uzito wake unafikia tani moja! Kuna ukweli?
Tofali moja lina uzito wa wastani wa tani 2.5...
Kuna matofali mengine yanafika hadi tani 16...
Huo utakuwa mwamba
Mkuu watu wa zamani walikuwa watu wa miraba minne...
Yeah ni kweli unakumbuka habari za hercules?
Hahaha...
mungu mtu sio...
Na habari za Samson pia
Huyu alikuwa hatari...
Mtu ambaye anapambana na simba na mbwa mwitu na kuwararua midomo
Yeah ni kweli unakumbuka habari za hercules?