Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
to be honest maji ya ziwani sijawahi kuogelea so i dont knw how it feels ila ya kwenye mto,baharini na swimming pool ndo nimewahi itabidi siku moja nijaribu.ya ziwani nione yanafananaje.Mie mwenyewe nimetamani kwenda kuogela ila iwe ni ziwani pengine siwezi........Lol