englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hili villa la nani?
lina uzwa lipo USAHili villa la nani?
He he he halo halo lol....Langu na bado nipo single
Kiasi gani labda naweza nijibane!!lina uzwa lipo USA
Langu na bado nipo single
Kiasi gani labda naweza nijibane!![/QUOTE$75,ooo
Aisee acha nianze kuzichanga kuanzia sasa...Kiasi gani labda naweza nijibane!![/QUOTE$11,ooo
Kiasi gani labda naweza nijibane!![/QUOTE$75,ooo
Mbona si Pesa nyingi? Haifiki Hata milioni 150 za kibongo...ni kweli au umekosea tarakimu?
Kwako wewe sio nyingi!Mbona si Pesa nyingi? Haifiki Hata milioni 150 za kibongo...ni kweli au umekosea tarakimu?
Kwako wewe sio nyingi!
Hapana! sina maaana hiyo mimi49 bali kuna nyumba hapa bongo zina thamani ya 150m na ni za kawaida mno...so imenishangaza maana yaonesha ni ya kifahari sana...nadhani kuna 0 imemiss hapo!!!
Kiasi gani labda naweza nijibane!!
sawa mkuu!!Hapana! sina maaana hiyo mimi49 bali kuna nyumba hapa bongo zina thamani ya 150m na ni za kawaida mno...so imenishangaza maana yaonesha ni ya kifahari sana...nadhani kuna 0 imemiss hapo!!!