englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mhhhh unataka umezwe humo?Picha nzuri sana, Wapi hapo tukapaone????
huwa napenda kudive maeneo kama hayo
huwa napenda kudive maeneo kama hayo
mimi49, kumbe pana meza watu hapo????, sikujua hilo, nilijua ni mambo ya ki jiografia tu
Ha ha ha haya labda huo mtumbwi ufungwe kamba mahali...usije kusema halafu umechukuliwa na chunusi!mimi49, Hata kwa mtumbwi panafikika tu
Picha nzuri sana, Wapi hapo tukapaone????
Hili bwawa limejengwa na mfumo huo kwa manufaa gani?hilo jina glory hole mhhh...Hilo eneo ni sehemu ya Bwawa la Monticello " Monticello Dam" na hujulikana kama Monticello Dam's Hole au Glory Hole...
Bwawa hili hupatikana huko Jimbo la California nchini Amerika na lilijengwa kati ya 1953 na 1957...
1. Picha hizi hapa chini zinaonesha kina cha maji kikiwa kimepungua....
2. Picha hizi zinaonesha maji yakiwa yamejaa na yanamwagika kwa kasi ya 1370 m³/s kuelekea shimoni...
CC: mimi49 na charminglady
Hili bwawa limejengwa na mfumo huo kwa manufaa gani?hilo jina glory hole mhhh...