Picha ya leo

Picha ya leo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
995419_266377400170287_2032941836_n.jpg
 
Mara nyingi watu wenye makazi bora kama haya huwa hawaishi humu, utaambiwa tu mwenye nyumba yupo ulaya , nyumba inatunzwa na house boy,,,
 
Ila it is amazing sitting room!! Nimeipenda kwa kweli !
 
Mara nyingi watu wenye makazi bora kama haya huwa hawaishi humu, utaambiwa tu mwenye nyumba yupo ulaya , nyumba inatunzwa na house boy,,,
Halafu kule wenzetu wanabadilisha furnitures more often after some years sio kama sie furniture ni hizohizo for decades mpaka panya wanaweka makazi humo kula masponji na zitachanike lakini bado tunazo tu zinahamishiwa uwani!
 
Mchanganyiko wa hizo rangi za kijani imependeza kwa kweli...Lakini tatizo ya rangi kama hizi unazichoka haraka ndio maana watu wanapenda classic colours...

classic colours ndio zipi?
 
Mchanganyiko wa hizo rangi za kijani imependeza kwa kweli...Lakini tatizo ya rangi kama hizi unazichoka haraka ndio maana watu wanapenda classic colours...

Ila hiyo kijani iliyopoa imenivutia kwa kweli na nilishaiona mahali flani iko poa sana,.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom