Picha ya leo ipe maneno bas

Mzazi aliyemwandaa vyema mwanaye kielimu na kiafya anajiwekea mtaji mzuri wa kupata matunzo mema uzeeni!
Kinyume chake ni kwamba malezi mabaya kwa mwanao ni maandalizi mema ya strees na stroke uzeeni
 
an old one looks downward while a young one looks upward-wazee wanatazama walikotoka while vijana wanaangalia waendako
 
Anamuosha Madam, na yeye akitoka pia anaenda nyumba ndogo anaoshwa na yeye ndio maana anachekelea kwa dharaau
 
Mzazi aliyemwandaa vyema mwanaye kielimu na kiafya anajiwekea mtaji mzuri wa kupata matunzo mema uzeeni!
Kinyume chake ni kwamba malezi mabaya kwa mwanao ni maandalizi mema ya strees na stroke uzeeni
Umenikumbusha mbali sana,---- mzazi mmoja aliwalea vibaya watoto wake,hatimaye watoto walimsababishia kifo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…