Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Baada ya kupata pesa ya kununuwa gari toka kwa biashara ya Bodaboda alifikiri hilo gari pia ni bodaboda litapita hapo amekwama.ha ha ha lool….haraka haraka zimemponza….
Bora angeiimarisha biashara ya bodaboda tu akaongeza bodaboda nyingine kama tano hivi....:lol:Baada ya kupata pesa ya kununuwa gari toka kwa biashara ya Bodaboda alifikiri hilo gari pia ni bodaboda litapita hapo amekwama.
Kibongo bongo ndio atakuwa Amesha tajirika kuwa na gari unataka bado afanye biashara ya kuendesha bodaboda tu .Bora angeiimarisha biashara ya bodaboda tu akaongeza bodaboda nyingine kama tano hivi....:lol:
Ustaadh bodaboda inalipa kuliko taxi unaepuka foleni na inapenyapenya ka kipanya na itakuwa na wateja wengi kwasababu bei si mbaya na unafika safari yako haraka zaidi.Sasa hasara aloipata hapo baada ya kufanywa sandwich si bora angebaki na bodaboda tu loool....:lol:Kibongo bongo ndio atakuwa Amesha tajirika kuwa na gari unataka bado afanye biashara ya kuendesha bodaboda tu .