Wow! Angalia si kila mungu ni wa kuombwa. Mungu wa waoga ndiye atakuepusha usikutane nacho. Ila Mungu wetu Yehova akikukutanisha nacho ni ili ukimalizie mbali kisiendelee kufanya uovu wake kwa walio dhaifu. Hapo juu ya lory ujue kimekaa hapo ili labda kilipindue hilo semi kilete hasara kubwa pale Wami au Sekenke au Kitonga. Sasa aliyekiona alitakiwa akisambaratishe kwa Jina hilo lipitalo majina yote. Jina la Yesu Kristo wana wa Mungu aliye hai. Angemponya dere wa lory na mali zote