PICHA YA KIBABE

Maraisi wote wa Kenya wapo kwa hii photoView attachment 1025752

Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili za Uhuru Kenyatta kuja kuwa rais zilionekana toka utotoni kutokana na babake kuwa naye katika matukio mbali mbali. Sijui Nyerere alikuwa anamuweka karibu mtoto yupi ambaye angalau angevutika kisiasa na kuja kuutaka urais. Magufuli naye hatumuoni hata akifuatana angalau na mtoto mmoja
 
Hata mimi ni
Iwapo Mandela alikuwa bado Kijana, uwepo wa Thomas Sankara unatia shaka kuhusu picha hii.
mehisi hico kitu, na enzi za Mandela akiwa kijana hivyo, Sankara hakuwepo by the way Mandela hakuwahi kukutana na Sankara
 
Kama Kingunge hayupo sitakyja nielewe. Huyu editor alikuwa na lengo gani kuhusu PanAfricanism. Na JPm wangemupnyesha alupokuwa kijana uzalendo wake[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…