Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 728
mambo rafiki au tubadili mada ninin?sasa kosa ni nini mpaka ukazungushia wino mwekundu? wote si waumini hao?
ungetoa basi na special elaborations tuelewane!
sasa kosa ni nini mpaka ukazungushia wino mwekundu? wote si waumini hao?
ungetoa basi na special elaborations tuelewane!
Pia kuna hii kauli ya utata inawahususuala hapo ni mme mwenza, teh teh teh teeeeeeh!
..............Mtakula nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe....................
Hapo mimi naona Makamu wa Rais anamwambia Mzee tumsifu Yesu Kristo akajibu milele amina.Wewe unataka atoe elaboration gani?sasa kosa ni nini mpaka ukazungushia wino mwekundu? wote si waumini hao?
ungetoa basi na special elaborations tuelewane!
thumb up!