Ila mie NILIrespond tu kwenye comment ya serio "hili jamaa lina mke kweli ?"....kiutani zaidi...sikumaanisha kihiiiivyo.....yaani kwa maneno mengine nimedandia treni kwa mbele....
Nadhani yeye serio ndiye mwenye kuujua ukweli ulivyo, kama alichoandika kina ukweli.