Picha ya ajabu!

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
1,399
Reaction score
256

Huyu ni kipepeo au nyoka? Duniani kuna mambo! Au imefanyiwa sayansi fulani picha hii?

Ebu nifafanulie wanajanvi.
 
unavyoona ndio hivyo hivyo,,,,hiyo ni picha,,,sio nyoka wala kipepeo
 
View attachment 25625

Huyu ni kipepeo au nyoka? Duniani kuna mambo! Au imefanyiwa sayansi fulani picha hii?

Ebu nifafanulie wanajanvi.

Acha maswali magumu! Kama ukimuona ni kipepeo basi anakuwa kipepeo na kama utamuona ni nyoka basi na awe nyoka. kwa nini kuulizana maswali ya kutuchanganya?
 
.... Ni kipepeo bana!!!! lakini picha imefanyiwa michezo ya picha duka!!!!!!!
 
Acha maswali magumu! Kama ukimuona ni kipepeo basi anakuwa kipepeo na kama utamuona ni nyoka basi na awe nyoka. kwa nini kuulizana maswali ya kutuchanganya?

Nashukuru. Wewe umeonaje lkn? Jibu bw. Usiwe na jaziba
 
hakuna usanii kny hyo picha ni kipepeo ambeye ameumbwa hvyo hili hajikinge na maadui zke!

you are absulutely correct..!! kila kiumbe kimejaariwa njia mbalimbali za kukabiliana na mazingira+maadui
 
lakin pia naona kama kuna umbo jingine hapo kati kama la ki biology zaidi
 
Naona hii si picha ya ajabu ni ajabu ya picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ