Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
Waliokaa mwenye fimbo ni kaka mkubwa wa rais.View attachment 239879
Hii picha nimekuta sehemu nikapata udadisi tu na kupenda kujua hili tukio lilikuwa ni la nini, na hawa wazee waliokaa ni kina nani, na kama bado tuko nao. Waliosimama sina shaka nao.
Kweli hawakukutana barabarani.
Kama hawakukutana barabarani, walikutana wapi, nyumbani, chumbani, baharini au darasani?
Ina maana wazee hawa wameshatangulia mbele za haki?wanajuana kwa vilemba vya ukoka hao. r.i.p kwa hao wazee waliokaa kwenye viti
View attachment 239879
Hii picha nimekuta sehemu nikapata udadisi tu na kupenda kujua hili tukio lilikuwa ni la nini, na hawa wazee waliokaa ni kina nani, na kama bado tuko nao. Waliosimama sina shaka nao.
...toa mmoja ama toa wawili?Wote waliosimama wanajua raisi ajae yupo miongoni mwao toa moja
Kama hawakukutana barabarani, walikutana wapi, nyumbani, chumbani, baharini au darasani?