Picha : watu wamechafukwa

huoni kuwa ni uchafu wa miji, barabara kujenga vitu kama hivyo? Pasco MSALANI
 
Last edited by a moderator:
kuvunja huo msingi ni ukosefu wa adabu tu!

CCM itaendelea kusimama imara.
 
Vijiwe vya ccm huwa vya kuficha maovu,wakwepa kodi ukikiweka hicho ktk eneo la barabara basi waweza uza hata madawa ya kulevya usiguswe
 

Unajua utaratibu wa kujenga hilo shina?

Oka mwenye eneo la shina kaamua kuhama chana na kulibomoa shina eneo lake.

Wapumbavu mnaotokwa na povu bila kujua utaratibu upi hutumia.

Ukiwa na kadi ya maccm, ukahamia CHADEMA ni haki hata ukiichana kadi ama kuwapa wahusima wapya waziteketeze.

Kuvunja shina ni kawaida tu
 
Salam zimefika lumumba hizo Ila zimfikie kinana alie valisha bendera ya chadema mbwa
 
Ingawa mimi ni Chadema damu damu lakini kitendo hiki si cha kistaarabu! usimtendee mwenzio usiyopenda kutendewa.

2015..............CCM.................MUST.............GO

vipi tena ?
Chadema wanaingiaje hapa?
 
Ujumbe una namna nyingi ktk kufikishwa kwake, kama watu wakiandamana wanapigwa mabomu ya machozi huenda wameamua kutumia njia mbadala kufikisha mawazo yao
 
kwangu mimi siasa ni nukhusi hakuna siasa safi.siasa ni sawa na mavi.
 
wanaofanya hvo cku wakifanyiwa wao cjui itakuwaje kama sio kutuletea machafuko katika nchi
 

Sanduku la kura my foot! Wizi mtupu.
 
Siwezi kupoteza muda wangu kwa manufaa ya wachache
 
Huyoo atakuwaa ni mpumbavu mmoja tu ndo kafanyaa hvyoo..

Harafu eti ndo mnachukulia point hapo eti Ccm imechokwa. Jisemee ww mwenyewe usiwasemee wengine.

bucca hata mimi nimeichoka aisee
 

Hao ni raia tu tena ukute si
member wa chama chochote wamechafukwa tu na katiba mpya
 

Na wale waliokuwa wanamfukuza kijana wa Chadema kwa matofali, virungu na mapanga kule Dodoma...siasa ilikuwa imewafika wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…