Refrigerator zipo za kuanzia laki sita kwenda juu, japo nying ni za lak 9, na nisehem 3 tu nimezikuta baada ya kuzunguka kila chocho ila hizi sikuchukua baadala yake nikachukua warm food displaye/showcase
niliona haina haja maana tayar nina freezer na nitachukua juice dispenser ambapo hv vyote nivya cooling haina haja ya kuongeza na refrigirator, hii nikwaajil ya kufanya vitu visipoe, brenda nikapata hii,
Umepata sehemu gani mkuu na bei zake range ikoje?
Umezipata kwa bei gani mkuu?
High perfomance commercial blender, ni ya kazi haswa haswa asikuambie mtu, ni ya lita 3.5, nimechukua kwa lak 3, dispenser nikasanda hela haikutosha ni 1.1M, japo ukiingia kichwa kichwa unapgwa 1.5M, badala yakenikachukua popcorn mashine kwa 250k, vile viti dizain mpya iliiyotoka vyenye miguu ya chuma kwa elf 33 na sehem nyingne zote wanaanzia 35, kumbuka ni vya cello
(sio jambo, jambo mpk elf 26 unapata na vinafanana sanaa, ila ukiangalia jambo na cello, jambo ina mgongo mkubwa na uimara wake haukut cello na muonekano) na mazaga mengne, nikasafrisha nasubr nijipange tena kwa ajir ya hio dispenser na mazaga mengne, ila kwa ufup nilizunguka nikahakikisha napata bidhaa nzur kwa last price in the market.