Picha: Wachina hatupo nao hii dunia, barabara noma

Picha: Wachina hatupo nao hii dunia, barabara noma

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Is the world's most scenic highway? China unveils new seven mile road that's built in the middle of a river valley


  • New route connects Xingshan County in Hubei to a high-speed motorway
  • It officially opened on August 9 and has been dubbed 'over-water highway'
  • It cuts an hour's journey to just 20 minutes and there's great views en route
  • 6.8 mile road is built on top of a bridge and follows the curve of river valley

A stunning new route opened in Hubei province, central China, on August 9.

Incredible images of the new road shows that drivers are literally travelling over water as the 6.8-mile motorway is built in the middle of a river valley. The spectacular road connects Xingshan County in Hubei to G42, a high-speed route that connects Shanghai in eastern China to Chengdu in south west China.

2B3C676600000578-3192422-image-m-71_1439217315635.jpg


'Overwater Highway' links Xingshan County in Hubei to G42, a motorway that connects Shanghai to Chengdu

2B3C676E00000578-3192422-image-m-70_1439217296970.jpg


Incredible images of the new road shows that drivers are literally travelling over water as it is built on a bridge

2B3C674100000578-3192422-image-m-72_1439217329400.jpg


It will cut down travel time from Xingshan to G42 to just 20 minutes - this was previously around an hour

The road is built on top of a bridge that follows the curve of the river valley. It will cut down travel time from Xingshan to G42 to just 20 minutes. The journey originally took close to an hour along a steep and convoluted road.

Drivers along the route are treated to breathtaking views of the valley as well as the river and nearby villages. The new route has already been dubbed the 'over-water highway'.

According to the project manager of the road Chen Xingda, when the motorway was first proposed in 2013, there were three different possible routes. Two of the routes involved digging a tunnel through the mountains in the area. The third was a longer route and involved building on water. Engineers on the project wanted to protect the abundance of plants and woodland in the mountains so decided to build the third route.

2B3C674500000578-3192422-image-m-73_1439217341026.jpg


Road measures approximately 6.8 miles in length and is built on top of a bridge that follows the river valley

2B3C675300000578-3192422-image-a-74_1439217352900.jpg


Drivers along the route are treated to breathtaking views of the valley as well as the river and nearby villages


Source: Daily Mail online
 
waoo ndo maana magufuli inabidi akiwa rais atuletee hizo!!! ndoto za mchan kweupe!!
 
Hawa WACHINA nawa salute sana- Lakini mbona standard of living za watu wao ziko chini sana-nawaona Dar wanachoma mahindi-hii inasumbua sana kichwa yangu-haya maendeleo ni faida ya nani hasa

Karibu kila nchi ina masikini na tajiri na raia wenye uwezo wa kati (middle class).

Nenda Marekani, Kanada au Uiingereza kuna ombaomba barabarani na kuna matajiri wa kutisha, japo ni wachache.

Hata China kuna masikini na matajiri wa kutisha. Nchi zilizokuwa zinaringa kuwapa viza, leo zinawakaribisha. Hata Japan kawafungulia mipaka waje kutumia Tokyo.

Wachina wanaokuja Tanzania ni wafanyabiashara wadogo wadogo. Hata wewe ukiwa na mtaji, unaweza kwenda China na kufanya biashara. Kuna Waafrika chungumzima wanaishi na kufanya biashara huko kama Wachina wa Kariakoo.

Wachina matajiri na kampuni zao zinashindana kwenye nchi zinazotoa tenda kubwa kama za kutengeneza usafiri wa treni.

Leo kampuni za Japan zimeshindwa tenda ya (US$ 5 billion ) kujenga usafiri wa treni Indonesia. Tenda wamechukua Wachina.

Wachina pia wamewapita Marekani na kuwa na uchumi mkubwa kuliko wa nchi yoyote duniani (17.6 v/s 17.4 trillion dollar economy)

China ya Leo sio ya Mao.

Source: forbes.com,marketwatch.com, jakartapost.com
 
Nilishangaa eti JK wawekezaji wa Reli anatafuta India! Daah, JK kwa vituko!!
 
Kodi inalipa!; kihivyo kodi unaipeleka mwenyewe ili uvune maendeleo!
 
Magufuli anaandika lakini? Sio kuturingishia eti unatoka na bajaj kutoka Mtwara mpaka Mwanza. Akikamilisha daraja la Kigamboni mbona ataringa sana?
 
Wachina hatuwezi kuwaelewa kama tusipojifunza toka kwao.

Hizo barabara ni kuwafanya wafanye vizuri kibiashara.

Usijali sana ukiwaona wanakula mihogo kariakoo.
Nilikuwa kwenye ofisi zao moja pale kijitonyama nikakuta wameletewa chakula nafikiri kimepikwa majumbani na wachina. Kila mtu anakuja anabeba kikontena chake.

Wako kibiashara zaidi.

Tambua Bahkressa halalii kitanda aghali zaidi mjini.....
 
Ndio matunda ya serikali adilifu. Hamna wizi wizi au ujanja ujanja. Ukizingua wananyonga tu. Sio bongo watu wanaiba tsh billion 200 alaf mtu hafanywi kitu.
 
Hii barabara ilitakiwa ijengwe bongo pembezoni mwa bahari.
Safi sana wachina.
 
Karibu kila nchi ina masikini na tajiri na raia wenye uwezo wa kati (middle class).

Nenda Marekani, Kanada au Uiingereza kuna ombaomba barabarani na kuna matajiri wa kutisha, japo ni wachache.

Hata China kuna masikini na matajiri wa kutisha. Nchi zilizokuwa zinaringa kuwapa viza, leo zinawakaribisha. Hata Japan kawafungulia mipaka waje kutumia Tokyo.

Wachina wanaokuja Tanzania ni wafanyabiashara wadogo wadogo. Hata wewe ukiwa na mtaji, unaweza kwenda China na kufanya biashara. Kuna Waafrika chungumzima wanaishi na kufanya biashara huko kama Wachina wa Kariakoo.

Wachina matajiri na kampuni zao zinashindana kwenye nchi zinazotoa tenda kubwa kama za kutengeneza treni.

Leo kampuni za Japan zimeshindwa tenda ya (US$ 5 billion ) kujenga treni Indonesia. Tenda wamechukua Wachina.

Wachina pia wamewapita Marekani na kuwa na uchumi mkubwa kuliko wa nchi yoyote duniani (17.6 v/s 17.4 trillion dollar economy)

China ya Leo sio ya Mao.

Source: forbes.com,marketwatch.com, jakartapost.com
Bado hujajibu swali-mchina kuchoma mahindi Dar,ina maana Dar ni nzuri kwake kuliko Uchina. Huyo masikini wa UK,USA au Canada hawezi choma mahindi Dar,sababu licha ya umasikini wake huko kwao baado tena sana hawezi pata standard of living anayoipata kwao.China imeendelea lakini inaonekana walio wengi haya maendeleo yamewapita kando
 
Hawa WACHINA nawa salute sana- Lakini mbona standard of living za watu wao ziko chini sana-nawaona Dar wanachoma mahindi-hii inasumbua sana kichwa yangu-haya maendeleo ni faida ya nani hasa

Ndoto zenu Lowassa anawaambia eti nyote mtakuwa matajiri wakati pote duniani maskini wapo na hawatàisha
 
Back
Top Bottom