Picha: Viongozi wetu wapendwa!

MAGUFULI VS Home Shopping Centre/GSM!!!
 
Mimi wa mkoani...namba 3 hanihusu
 
hapo kuna kitu kimefichika sana, ukitazama, utaziona busara, ukitazama utaona kitu kingine, sijui hata nikiiteje, nadhani ni kinyume cha busara
 
hapo namkubali mmoja tuu!

naonaniishie hapo maana nikiendelea itakuwa uchochez kwa mujib wa alcoholism concepts!!!
 
Mtasema yote ila ukweli utakuwa ikitoka imetoka ikirudi pancha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…