MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Mbunge wa Chalinze na mbunge wa Instagram (pichani)wakibadilishana mawazo
Wanatajwa sana na wachambuzi wa siasa kama vijana walio chini ya miaka 40 walio kwenye uwezekano mkubwa kabisa kuongoza taifa hili siku za usoni hata kuwa na uwezekano wa kushika usukani hapo 2020