Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
Asante kwa pis. Viva CHADEMA
Ni kweli kabisa mkuu!kuna ulazima wa kujenga chama hadi ngazi ya kijiji!Tumeona mkuu.
Shukrani na kila la heri Chadema katika shughuli zao za kusaka uongozi wa nchi ila sioni wala sijasikia taarifa zao za kuongeza idadi ya wanachama wapya. Mikutano bila kupata wanachama wapya na kufungua matawi ngazi za vijiji kutakuwa na tija kubwa?
Nimeona na kusifu juhudi za kamanda Mbowe kufungua matawi Arusha lakini sijaona juhudi zaidi za kuyaendeleza huko wanakofanya mikutano ingawa inaweza kuwa inafanyika bila kupewa nafasi katika vyombo vya habari. Nashauri nalo liwe linasemwa ili tuone ongezeko na ukuaji wa CDM.
Kwanini huyu mama leo amevaa jezi ya ccm
Ile hadithi ya Freeman kuzaliwa na Mwalimu iliishia wapi? Watu bwana!