Mi sijaielewa bado
Mi sijaielewa bado
Nadhani mleta mada anamaanisha jinsi neno TOYOTA lilivyofuatiwa na neno SECURITY na kuonekana kama ni jina la kampuni ya ulinzi iitwayo TOYOTA SECURITY. Ingependeza zaidi mleta mada wakati anaweka picha angeweka na maelezo yanayojitosheleza ili kueleweka kwa wote.Kama Mimi tu, ngoja aje atudadavulie.
Nadhani mleta mada anamaanisha jinsi neno TOYOTA lilivyofuatiwa na neno SECURITY na kuonekana kama ni jina la kampuni ya ulinzi iitwayo TOYOTA SECURITY. Ingependeza zaidi mleta mada wakati anaweka picha angeweka na maelezo ili kueleweka kwa wote.