Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
"PHOTO INTERPRETATION"
I thank u sir for wht u did for ulimboka,we are warmly welcome u again.thats pretty job and we will never ignore ur support
BIG Yes!
The guy is very familiar in the corridor of power. I remember once (in the 1st term of JK) he introduced me to Hon. Hawa Ghasia. I can't say much about the sense of double-crossing but my emotions and intelligence are skeptic on the friendhsip and trust among the two!
Kwa uzoefu wangu na watu wenye majina ya DEO, huwa ni ndumilakuwili balaa!

Ni Deo alimwambia Uli waende Lidaz au Uli ndio alimwambia Deo?
Ngoja nirudie ile video ya Uli
Vijana inaonesha walifurahi sana kukanyaga Ikulu
Mkuu kumbe tulikuwa wote TAmbaza, T2Mbaya wa biology kuanzia enzi ya Mr. Salum.
BIG Yes!
The guy is very familiar in the corridor of power. I remember once (in the 1st term of JK) he introduced me to Hon. Hawa Ghasia. I can't say much about the sense of double-crossing but my emotions and intelligence are skeptic on the friendhsip and trust among the two!
Ni mpiganaji sana tokea enzi zetu pale muchs. Huo undumilakuwili ni wa kwako.
Dr aliyeko kulia mwisho kabisa kiatu chake namba 15(size)
MI6 umenifungua macho! Dr Deo hakuchukua hatua yeyote kuhusiana na sakata hilo. Jambo hili linaacha maswali mengi yasiyo na majibu. Katika hali ya kawaida ripoti ya kutekwa Dr. Ulimboka zingepatikana hata kabla hajaokotwa msitu wa Pande. Kama kweli Deo angekuwa makini angewataarifu madaktari wenzake kuhusu tukio hili lisilo la kawaida. Kwa mshangao, hakufanya hivyo, nasi twauliza, kulikoni?Jiulize:Wakati jamaa wanamteka Uli,Deo alipiga kelele au alienda kuripot wapi? au alienda zake kulala?
Na je wale jamaa wengine (Dr.s) aliwataarifu kilichotokea? kama ni HAPANA kwanini?
Hiyo picha inaweza kusema Deo ndumilakutatu au kunne...

MI6 umenifungua macho! Dr Deo hakuchukua hatua yeyote kuhusiana na sakata hilo. Jambo hili linaacha maswali mengi yasiyo na majibu. Katika hali ya kawaida ripoti ya kutekwa Dr. Ulimboka zingepatikana hata kabla hajaokotwa msitu wa Pande. Kama kweli Deo angekuwa makini angewataarifu madaktari wenzake kuhusu tukio hili lisilo la kawaida. Kwa mshangao, hakufanya hivyo, nasi twauliza, kulikoni?