Picha; Udart na upigaji

Hali ya lugha ya Taifa nchini Tanzania inazidi kuwa mbaya, kadri siku zinavyozidi kwenda mbele.

Kwa sasa, Watanzania wengine hawawezi kuandika Kiingereza wala Kiswahili kwa ufasaha. Wamezalisha lugha mpya kabisa.

Hali hii ya kuharibika kwa lugha ilianza taratibu.Kwa mfano, mtu anaandika xaxa badala ya sasa.

Sababu nyingine ni kuchanganya Kiingereza na Kiswahili. Hizi lugha zina sarufi mbili tofauti. Watu wamejilemaza wenyewe. BAKITA wapo, vyuo vikuu vipo! Bora liende!

"Eneo hili ni la abiria wa hospitali ya Mloganzila"

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania kwenye matumizi ya R na L ndio majanga kabisa hadi aibu wengine ni watu wana elimu ya chuo kabisa, anakuja mgeni hapa bongo unakuta anaandika Kiswahili kizuri kuliko mwenyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…