Jamar Said
Member
- Sep 2, 2015
- 19
- 35
Inatakiwa sheria zifuatwe hao unaowataja hawakufuata sheria ndio mana nchi wameiacha hoi taabanimagufuli anafit kuwa waziri mkuu sio rais,kama sio huruma za jk na pinda maelfu ya watanzania wangekuwa homeless kwa kuvunjiwa nyumba zao,