Picha tu: HeavyWeight Lowasa akiwa Tarime na Nyamongo

Picha tu: HeavyWeight Lowasa akiwa Tarime na Nyamongo

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Modes acha watu wajionee. Usiunganishe plz acha watu wapate raha ya picha tu..
 

Attachments

  • 1444492916492.jpg
    1444492916492.jpg
    22.7 KB · Views: 2,978
  • 1444492955464.jpg
    1444492955464.jpg
    27.4 KB · Views: 2,821
  • 1444492965682.jpg
    1444492965682.jpg
    28.5 KB · Views: 2,761
  • 1444492976222.jpg
    1444492976222.jpg
    26.6 KB · Views: 2,717
  • 1444492987157.jpg
    1444492987157.jpg
    36 KB · Views: 2,799
Leo tarehe 10/10/2015 ifikapo Saa 3:05 usiku usikose kuangalia kipindi cha AJENDA 2015 na Jaji Joseph Sinde Warioba!

Kupitia Chanel ya Startv!!!!
 
Mmeshaanza tena mambo yenu hapo kuna picha za uongo na za kweli
 
Sio za konakry hizi maana ninyi bhana,hamkawiii kujipeleka afrika magharibi
 
ITV wako Fair sanaaa. Habari zote za wagombea wanaonyesha bila ya upendeleoo
 
Huu mwaka watasema kila kitu kama ile ilikua ni guinea basi ya leo ni Kuwait kwa sadam
 
Lowasa kupitia chadema/ukawa ni mgodi unaotembea

Yaan hata kabla hajaingia madarakan neema zishaanza kumiminika tz....alisema malawi ishinde ikashinda.akawapa onyo tanesco khs umeme..mtaan kwetu walikuwa wanakata kwa masaa 9 ila sasa ni masaa 5
Lowasa baba
 
leo tarehe 10/10/2015 ifikapo saa 3:05 usiku usikose kuangalia kipindi cha ajenda 2015 na jaji joseph sinde warioba!

Kupitia chanel ya startv!!!!

niliisha acha kuangalia star tv.
 
Back
Top Bottom