Picha : Trafiki akitafuta njia ya kuongeza mapato kwa nguvu

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Sasa hawa jamaa wamezidi jaman
IMG-20170425-WA0001.jpg
 
Kuna mti mmoja pale jirani na Imperial Secondary Msolwa huwa jamaa wanakaa juu ile plain kutulima tochi, nishalamba kama mara mbili hivi siku hizi nakagua hadi miti nikiwa na drive tuna kazi sana uangalie usalama wako na wakati huo huo ukiwa road inspector, wekeni kamera acheni hizi,mtakuja mvunjike,ukikutana na joka huko juu!
 
Ni polisi kweli au ni uwazi wa matawi ya miti ambao unaonesha white sky upande wa pili? Halafu issue naona hapo ni hilo basi linalo-overtake kilimani.
 
hapo ni mlandizi na ile dhana ya traffic kuelimisha na onyo kwa mdomo halipo kabisa siku hizi. Kuna traffic huku Mbagala ananyota moja maarufu km kinyota huyo ni hatari fine zake zote ni zakulazimisha na kwa ujumla wake ni uonevu uliokithiri. Amekuwa Mungu mtu nahana mahusiano mazuri na raia kabisa aache tabia yake.
Nawasilisha wadau
 
Dereva wa bus ana overtake mlimani, kaaah jmn..
Usalama barabarani bado wanasafari ndefu.
 
Back
Top Bottom