Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,688 Aug 26, 2013 #22 kinyoba said: yaani picha ndio inakufanya oune true love? Utajuaje kuwa huyo jamaa ni milionea? Click to expand... kwani milione hapendwi?
kinyoba said: yaani picha ndio inakufanya oune true love? Utajuaje kuwa huyo jamaa ni milionea? Click to expand... kwani milione hapendwi?
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Aug 26, 2013 #23 Husninyo said: kwani milione hapendwi? Click to expand... hapendwi mtu babu lapendwa pochi tu he he
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Aug 26, 2013 #24 Huyo jamaa si ndiyo yule aliyegongwa na gari akiwa kwenye boda boda akihangaikia maandalizi ya harusi siku moja kabla ya harusi yao. Kwa hali yoyote ile asingeweza kumuacha kwani jamaa alipata msukosuko huo akimuhangaikia demu huyo huyo.
Huyo jamaa si ndiyo yule aliyegongwa na gari akiwa kwenye boda boda akihangaikia maandalizi ya harusi siku moja kabla ya harusi yao. Kwa hali yoyote ile asingeweza kumuacha kwani jamaa alipata msukosuko huo akimuhangaikia demu huyo huyo.
M MOSSAD II JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 3,971 Reaction score 947 Aug 26, 2013 #25 Ngamakisi said: hata mwanamke nae wa kawaida sana, sio ishu hapo Click to expand... Mwanamke ambaye si wa kawaida yukoje?
Ngamakisi said: hata mwanamke nae wa kawaida sana, sio ishu hapo Click to expand... Mwanamke ambaye si wa kawaida yukoje?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Aug 26, 2013 #26 Ha ha ha, concept ya true love ni ya kufikirika tu. Hivi mtu anapata ajali siku 2 kabla ya harusi unamtema? Hata kama hakuna true love? Unaweza amua kuolewa kwa kuhurmia michango ya watu tu.
Ha ha ha, concept ya true love ni ya kufikirika tu. Hivi mtu anapata ajali siku 2 kabla ya harusi unamtema? Hata kama hakuna true love? Unaweza amua kuolewa kwa kuhurmia michango ya watu tu.