Picha: Stendi ya Mabasi Kakonko iliyotumia Mabilioni yageuka kijiwe cha Bodaboda

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,119
49,843
My Take
Hii ndio hasara ya kuiga Kila kitu bila kusoma mazingira.

Hapo mabilioni ya wananchi yamepotea 👇👇

===

Maana halisi ya mgawanyo mbaya wa fedha, mji mdogo kama mtaa wa Kisukuru kule Tabata unajenga stendi yenye hadhi ya jiji la Arusha. Kakonko haina basi la aina yoyote linaloanzia hapa ukipita asubuhi ni Probox tu, kufikia saa tisa stendi inakuwa kijiwe cha boda.

1708345233657.png

TboundBuses
 
View attachment 2909073

TboundBuses
Eti, "chanzo cha mapato" ...!
 
Eti, "chanzo cha mapato" ...!
Ni ujinga uliowajaa watu wa Serikali kukariri vitu bila kusoma mazingira.

Wamekariri mastandi,masoko,parking ya Malori na saizi wamekuja na shule za English medium ndio akili zao zimeishia hapo.😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom