G galimanywa Member Joined Apr 6, 2012 Posts 86 Reaction score 26 Jan 9, 2013 #41 Wakati Kibaki anajivunia kuongeza makusanyo ya mapato kiasi ch kufikia kukidhi 90% budget ya Kenya. Huyu mswahi anajivunia kukusanya watu Igunga, inamaana kwenye mind yake bado kunasomeka "kampeni ya urai 2010". "ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO"
Wakati Kibaki anajivunia kuongeza makusanyo ya mapato kiasi ch kufikia kukidhi 90% budget ya Kenya. Huyu mswahi anajivunia kukusanya watu Igunga, inamaana kwenye mind yake bado kunasomeka "kampeni ya urai 2010". "ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO"