Picha: Pyongyang Korea Kaskazini

Sio kila sehemu North Korea unaweza piga picha, ni selected areas tu. Na ukitaka kujua hali yao ikoje tazama barabara zao, kawaida kukuta watoto wako highway au barabara kuu katikati ya mji wakicheza maana magari ni machache.
Acha uongo ni kweli wapo vyema shida ni namna wakubwa wa dunia walivyowatangaza kwa dunia vibaya ila kiuhalisia hawapo kama tunavuyoaminishwa. NB usipokuwa unakubali rasilimali zako kuliwa na wakubwa na kukupangiwa nini cha kufanya lazima wakuchafue taswira yako usisahau tuliambiwa Russia hana uwezo wa kupigana vita miezi mitatu sasa ni kipindi gani kimepia je uchumi wake ukoje.
 
Na picha za vijiji vyake utuwekee.
wako vizuri mkuu mpaka vijijini si wenzetu hao, we si unawajua wananchi kama hali hawaielewi kuiangusha serekali ni faster tuu kwanini wasifanye hivyo jibu ni moja wamekubaliana na njia serikali yao iliyochagua kupita na wana imani nayo. Wana viwanda vingi sana wanatengeneza vitu na vipuri vingi sana trekta, tv,cm.computer,tran zao, kilimo ndio usiseme wana green house kibao na ni mwongozo wao katika kilimo kiufupi wako mbali wanaishi dunia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…