Picha: Prof. Lipumba kuifuta CCM Mtwara

Wade hamshindi lipumba kwa kushindwa uchaguzi.. Lipumba kura zake hazijawahi kufika laki tano tanzania nzima

Acha uongo.

Nenda kachukue book 7, yako lumumba, kwa kuropoka humu jf...

Kama unaona maisha magumu anza kubeti ktk ligi ya FA, au UEFA, kama baadhi ya vijana wenzako!!
Kuliko kufanya kazi hio, mwenyewe unaamini eti unamdhalilisha prof Lipumba...

bet mipira na wewe!!, ndio ajira mpya hizo za ccm.

Watu wenyekupigania ukombozi kama prof lipumba huwa hawatukanwi, huwa wanaungwa mkono....

Acha ulimbukeni.
 
UKAWA LIPUMBAMBOWEMBATIA.....Hadithi hadithi...hadithi njoo.....Bwana Ibrahim bin haruna usitufanye sisi watoto wa jana, wewe ulikuwa mshauri wa Rais wa awamu ya pili na hakuna jipya uliloleta zaidi ya kusababisha mfumuko wa bei tu....sasa hao wanaokuuliza huko ughaibuni waambie ukweli kuwa ulishindwa kuifanyia mema nchi yako lakini kwa sasa kwa kuwa una hamu na madaraka....basi hiyo ndiyo kete yako ya kuwadanganya watanzania.....lakiniiii HAWADANGANYIKI
 

Ukombozi gani utakaoletwa na Lipumba? Chama chake cha Cuf kinachoshiriki serikali ya Zanzibar kimeshawaletea ukombozi gani Wazanzibari?
 


Nchi wanawake ndio wanaochelewesha ukombozi kutoka kwa mkoloni katili ccm.
 
msiwafute kabisa jamani! wasameheni maana mkiwafuta mtaua wategemezi wengi akiwemo mzee farijala!
 
Hapo ndio mwisho wa hicho kikundi cha kihuni "ukawa" chenye watu waliokutana pamoja lakini wana iterest na sera tofauti. Nani atakubali asigombee uraisi? watavurugana na kutukanana na ndio mwisho wao

Ukawa ni tumaini la watanzania kuwatoa ktk utawala wa mkoloni ccm.
 
Wacha bange zako wewe, tangu lini watawala wa CCM huwa wanapokea ushauri wa wataalamu?
 
laki si pesa uko zamu hapo Lumumba. Usije ukasinzia,utakosa posho.
 
Last edited by a moderator:

Sasa wewe unaongea UTUMBO wenye kunuka, Mimi nilifikiria Professor Lipumba alikuwa Rais wa Tanzania kumbe alikuwa mshauri wa Rais katika mambo ya uchumi!!???

Sasa kama Kazi ya Lipumba ilikuwa ni kumshauri rais Mwinyi jee unajua maana ya ushauri!? Kawaida ya ushauri unaweza kukubaliwa au kukataliwa!!! Na historia inatuonyesha serikali ya CCM haijawahi kukubali ushauri wowote ambao utakuwa na manufaa na Tanzania na wa Tanzania kwa ujumla.

Rudi nyuma mapendekezo ya majaji kisanga, nyalali na ya hivi karibuni ya warioba! Kwa ufupi kila ambaye ni CCM ana roho mbaya kuliko fisi hasa linapokuja suala litakalo leta manufaa kwa wananchi.
 
Ukombozi gani utakaoletwa na Lipumba? Chama chake cha Cuf kinachoshiriki serikali ya Zanzibar kimeshawaletea ukombozi gani Wazanzibari?

Nenda Zanzibar kawaulize wananchi watakwambia manufaa ya CUF kuwemo katika serikali ya Zanzibar.

Yako mengi ambayo wamenufaika, mimi nitakutajia moja tu, ni hili la bei ya karafuu! Bei ya karafuu sasa ni elfu 23 kwa kilo moja na nusu wakati kabla CUF hawajaingia katika serikali ilikuwa ni elfu 8
 

Huyo Laki sipesa anajifanya kipofu wakati anaona.Mpe za uso ndio dawa yake tosha.
 
Duu cdm FUTA DELETE KABISA CCM, CUF FUTA DELETE KABISA CCM 2015!
 

bei ya karafuu inatokana na bei iliyoko kwenye soko la dunia . Cuf hawahusiki kwa chochote
 
Wacha bange zako wewe, tangu lini watawala wa CCM huwa wanapokea ushauri wa wataalamu?

Wmeshindwa kupokea rasimu ya warioba tena tume ikisheheni watu mashuhuri sembuse Prof.Lipumba, ccm sikio la kufa
 
Uchaguzi gani waliwapiga?

kama walimuua Mwangosi na bado unasema ameuwawa na Chadema,utaamini nini nikikuambia?ccm umeishajitoa akili kusema na kufanya mambo yasiyokubalika na jamii,kama kweli wewe ni msema kweli niambie Mwangosi aliuwawa na nani
 
hivi lipumba kwa nini haachi siasa.. Lipumba ndio mwanasiasa wa kwanza duniani anaeongoza kwa kushindwa kwenye uchaguzi.. Elimu yake haijamsaidia kabisa

we kanga moko kakate viuno
 
Hapo ndio mwisho wa hicho kikundi cha kihuni "ukawa" chenye watu waliokutana pamoja lakini wana iterest na sera tofauti. Nani atakubali asigombee uraisi? watavurugana na kutukanana na ndio mwisho wao

Tatizo mlisha zoea kukariri hali inabadilika sana, miaka ya leo si sawa, watu wamebadilika wanahitaji uongozi bora si wafalme.
 
Lipumba hata akigombea uenyekiti wa mtaa atashindwa.. ana mkosi kama yericko nyerere

Dada unaonyesha unamahaba sana na Yericko Nyerere , sii utangaze nia tuu kwake na kama taratibu za dini yake zinaruhusu akuoe uwe mke wa pili? Usitutoe kwenye mada kwa huba zako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…