Picha : Power Mabula Live

Hapa naona kama mnajadili hewa.Sifa za urais ni pamoja awe na degree kuanzia moja na kuendelea...

Je hiyo sifa Mbowe anayo au mna mpango wa kushinikiza serikali ivunje KATIBA kuondoa kipengele hicho ili Mbowe akagombee kama alivyovunja katiba ya chama chake ili awe mgombea wa maisha????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…