Picha; Operesheni Delete CCM, mkoani Rukwa

bei ya kiroba muulize mbunge wako mariam msangi aliyekuwa anakunywa nje ya bunge pale makole bar kabla ya mjadala wa escrow haujaanza cc[MENTION]msalani faizafoxy simiyuyetu[/MENTION]

Mkuu naomba unisaidie bei nimtume mtoto nitoe stress.
 
Sijui kama wanajua kinachoendelea hapo mkuu.

Maeneo haya yana viwanja vingi vya mpira na michezo mingine ya watoto, kama wasingekuwa wanaelewa basi wangekuwa kwenye michezo yao ya siku zote. NAAMINI WEWE NDO UJUI KINACHOENDELEA!
 
Jamaa anapiga mzigo alone,almost a month sasa
 
Maeneo haya yana viwanja vingi vya mpira na michezo mingine ya watoto, kama wasingekuwa wanaelewa basi wangekuwa kwenye michezo yao ya siku zote. NAAMINI WEWE NDO UJUI KINACHOENDELEA!

Umejuaje mkuu? Kweli sijui kilichokuwa kinaongelewa pale.
 
Kwani hao watoto hawana haki ya kuhudhuria na kusikiliza mikutano ya CDM?

Tena wana haki ya kucheza na wakubwa ili kujifunza kutoka kwao vipaji mbalimbali walivyo navyo wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…