Picha nyingine lawama tupu

me nimeiangalia lakini upside down kwaio sijaielewa sawasawa
 
Hahahahahaaaa you people are funny !! Sasa hamjona nini? Maneno mmeona Ila picha hamjaona!!
 
Aisee wanawake wengi hawajiheshimu
 
Hiyo mkuu ni zaid ya LAWAma kwani hapo jamaa kama yuko pouwaaa kila angle lazima ajilipue nyundo za kutosha tu .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…