John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,029
Mi nimependa hapo tuu kwamba kwa wanaume anapendelea zaidi kudonoa ikulu.
Hahahaaa,mimi nimependa alivyo na wivu kwa mke wake.
Tafadhali ndugu naomba tusiharibiane majina na kupeana sifa mbaya! ... teh! teh! teh!
The worlds most fearless creature is the Honey Badger, according to the Guinness Book of World Records
Link:
The World's Most Fearless Creature is the Honey Badger
Mkuu Zamaulid ...nimeshajibu hili swali ninapopatikana ... ref post https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/834843-picha-nyegere-2.html#post12429555Kwa hapa tanzania Nyegere wanapatikana maeneo gani hasa
Haya sasa mmeshagongwa kimoja pamoja na huyo nyegere wenu....
....wenye kumjuwa huyu mtujuze !!!
Manchester United hatushikiki....kama nyegere