Picha: Ningeshangaa sana mmatumbi kukosekana kati ya wale hit squad waliotumwa na MBS kumuua Khashoggi


IROKOS

IROKOS

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
6,805
Likes
3,872
Points
280
IROKOS

IROKOS

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
6,805 3,872 280
Mzuqa!

Turkish intelligence wametoa picha za wauaji waliotumwa ubalozi wa mdogo wa Saudia Instanbul kwa nia moja tu kumuua kwa Kikatili Khashoggi.

Nigeshangaa kati ya hao 15 angekosa muafrika/mswahili ama mmatumbi.

Labda nadhani ndio yule aliyekuwa anaambiwa avae headfone akisikiza mziki huku akimkatakata Khashoggi. Hii ilisikikika kwenye audio wanausalama wa uturuki waliounasa. Na waeahidi watairoa kwa umma hivi karibuni dumia isikie Khashoggi alivyokua akilia kwa uchungu.
View attachment 901538
Hope he will rot while dying.....
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
7,628
Likes
13,713
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
7,628 13,713 280
Nita watetea ndugu zangu Watanzania kwa kweli ni uwongo hatuna huo ukatili kabisa walahi
Ipende nchi yako kijana mdogo, jifunze kuinenea mambo mema ili upate baraka zake walahi
Na iwe kama ulivyo nena kwa watesi wa Khashogi walahi
Wewe ni huyu huyu ISIS ambae anashangilia kila siku Tundu Lissu kunyunyuziwa risasi 30+?

Leo hii unasema Watanzania sio makatili wakati wewe ndio mungu wao wa ukatili mdogo wake shetani!!
 
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
354
Likes
234
Points
60
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
354 234 60
Hizi dini zetu tuziangalie sana. Yesu alisema mtawatambua kwa Matendo yao. Hivi Saudia si ni nchi ya kidini .Sasa inakuwaje wanamuua mtu ambaye anadai uhuru tu wa waandishi wa habari. Upendo uko wapi.Ndugu zetu achene ukatili
 

Forum statistics

Threads 1,235,616
Members 474,678
Posts 29,228,747