R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,578
Waendesha bajaji wakimsubiri Dk. Kafumu nje ya mji wa Igunga wakati walipowasili
Msafara wa Dk. Kafumu, ukiongozwa na pikipiki na bajaji baada ya kuwasili mjini Igunga
Dk. Kafumu akiwa na Nape wakati wa mapokezi hayo
Wazee wa Igunga wakimpongeza Dk. Kafumu kwa kurejeshewa Ubunge, alipowasili leo jimboni Igunga
Dk. Kafumu akisalimia na baadhi ya wanachama wa CCM alipowasili kwenye Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Igunga
Dk. Kafumu na Nape wakiwapungia wananchi baada ya kuwasili Igunga
Wananchi wakimshangilia Dk. Kafumu alipowasili kwenye mkutano wa mapokezi yake uliofanyika kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Igunga
Dk. Kafumu akiwa na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Igunga, Coasta Olomi, kwenye mkutano huo wa mapokezi
Nape akihutubia kwenye mkutano huo wa mapokezi ya Dk. Kafumu
"DC hakikisha unasimamia kwa nguvu zote ilani ya uchaguzi ya CCM hapa Igunga", Nape kimwambia mkutano Mkuu wa wilaya ya Igunga
Kila mmoja alikuwa na shauku ya kumuona Dk. Kafumu kiasi kwamba waliokosa nafasi walipanda kwenye miti kama vijana hawa.
Maelfu ya wananchji waliofurika kwenye mkutano wakishangilia