Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,488
- 35,158
Hao ni wananchi wakimsafirisha mgonjwa kumpeleka hospital nje ya kijiji chao.
Maeneo mengi karibu wilaya nzima ya kilolo nagari hayafiki kutokana ubovu wa barabara.!
Sehemu kama Boma la Ng'ombe, Idegenda, Masisiwe, Ng'ang'ange na vijiji vyote vya wilaya hiyo hakuna magari yanayofika huko.
Nakuhakikishia Mwamoto, kwa tabia hii ya kutojali jimbo lako utaondoka kama Msolla.