Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Ndio maana niliachana na magari ya Japan, funguo unaweza cheza nazo unavyotaka. Gari la mkoloni huwezi, huko alishatoka.Mbona tunatishana!? Maana nimesoma hapa kuwa bosi wa polisi naye anawalaumu viongozi kwa kuingiza siasa kwenye masuala nyeti. Au ndio majambazi nao wana take advantage hiyo!
Third party ipo inayo cover wizi. Third Party, Fire and Theft.Watu wengi wanakata third party,wakiibiwa inabidi walie na polisi tu.
Tunza vizuri mbwa wako, wasije wakaibiwa...hawa watu sio wa mchezo mchezopole mkuu,karibu nauza mbwa ina ya german shephard
Poleni sanaMnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Kamanda Sirro tusaidie.
Mkuu nahisi ww ni askari kitengo.cha magari maana info nyingi za magari kuibiwa huanzia kwako. Good work bro.Thanks mkuu ila ni taarifa tu nimeileta, gari siyo yangu ndugu
Yaani utolewe roho kwa sababu ya hayo mabatiyaani inabidi mtu ulale ndani ya gari sasa
gari zenyewe mkopo
Pole mkuu. Shukuru Mungu uko salama, gari ripoti polisi waachie wahangaike nalo wewe fuatilia insurance tu. Zama hizi ni vizuri kujizatiti kwenye insurance kuliko kuhangaika na hawa polisi wetu unaweza kujikuta unapoteza tena hela nyingi na gari usiipate.
Bima kubwa aka comprehensive ina cover kila kitu I.e wizi,moto,ajaliso kama mtu amekata bima kubwa, anaweza kulipwa hata kma gari yke imeibiwa???