Picha mpya za ndege ndefu zaidi Duniani.

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,091
Reaction score
15,208

Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
 
Inauwezo wa kusimama kwa wiki tatu.....(ikiwa hewani)
 
Ndege hiyo iliyogharimu dola milioni 25 kuijenga inaweza kusimama eneo moja hewani kwa wiki tatu na na pia inaweza kuendelea kuruka hata baada ya kutobolewa mashimo kwa njia ya risasi.
Naam hata ikishatobolewa(hata ukiona manyoya) no shida
 
Ndio haya mavitu tunayaona kwenye movies miaka n miaka, sion yatazagaa angani ku spy
 
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
Hizi aina za ndege ni balaa sasa mbona naona ile fimbo yenye jicho moja ikiingia makalioni [emoji15] [emoji85]
 
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
Aiseee hili si kalio na kende chini,hawa jamaa wahuni asieee
Halafu mbona kama zile za kwenye movie za mazombieee
 
Ndege hiyo inayojulikana kama (The Airlander 10) ina urefu wa mita 92 ikiwa ni mita 18 zaidi ya urefu wa ndege ya kawaida.
..........Kwa muonekano wake inafananan nan nini aiseee.
Hapana chezeaa
 
Inauwezo wa kusimama kwa wiki tatu.....(ikiwa hewani)

Mkuu hiyo ni airship. Zilikuwepo German enzi na enzi. Yalikuwa patented German mwaka 1895. Zilikuwa zinapaa na very luxurious lakini Wamerikani waliyafanyia hujuma, limoja very luxurious likalipuka angani.

ona

Sasa naona wanatengeneza tena. Yanatumia Helium kusafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…