PICHA: Mkutano wa BAVICHA Bariadi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458


Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA ) Limefanya mkutano mkubwa katika Jimbo la Bariadi,hali iliyomfanya Chenge kuchanganyikiwa.
Viongozi wa BAVICHA Katibu Mkuu wa BAVICHA Julius Mwita na M/kiti Mstaafu wa Bavicha John Heche,wamevunja record leo katika mkutano wa hadhara uliofanywa leo Bariadi.Mkutano huo ulihudhuriwa na maelfu ya watu wengi wakiwa na hasira na nyuso zilizoonesha kuchoshwa na tabia ya wizi inayofanywa mara kwa mara na Mbunge wao.

Wakizungumza katika mkutano huo na kushangiliwa kwa makofi na wananchi walihudhuria kwa Wingi mkutano huo,John Heche nae Katibu Mkuu wa BAVICHA Julius Mwita,walieleza wazi wazi namna Mbunge huyo anavyoshiriki kuliingiza Taifa hili katika matatizo Sugu ya Ufisadi,yanayopelekea Watanzania kubaki masikini kila kukicha.

Inasemekana pia,mahudhurio ya mkutano huo ndio yalipelekea Chenge kuchanganyikiwa na kujiona kwamba hana chake,hata baada ya mkutano kutaka kuwajeruhi viongozi hao kwa risasi za moto.
 

Attachments

  • 10629575_1571902386412035_3543511444662768711_n.jpg
    86.4 KB · Views: 2,632
  • 10956395_1571901576412116_1846946374404481741_n.jpg
    98.2 KB · Views: 2,134
  • 11169248_1571902153078725_8470126082755604008_n.jpg
    100.1 KB · Views: 1,960
  • 11152337_1571901829745424_63767319643974081_n.jpg
    68.9 KB · Views: 1,816
  • 11174801_1571902523078688_4796740191368535409_n.jpg
    102.6 KB · Views: 1,772
  • 11182315_1571902776411996_2105894708622335930_n.jpg
    103 KB · Views: 1,885
Ukombozi unasafari ndefu sana...
 
Ccm kubali yaishe,ndo basi tena mziki wa chadema hamuuwezi tena!
 
Wapi kiongozi mkuu msaidizi Afande Sele
 
Mbona hazipangiliwi vizuri maana zingekkuwa ni za maACT
 
Tumeishachukua RB hapa polisi tunarudi ofisini kauangalia madhara yaliyotokea nitawapa taarifa kamili kama kuna mtu ameumizwa.
 

Attachments

  • 10983318_748201438611831_3979573491037989849_n.jpg
    19 KB · Views: 1,152
kumbe na chadema wanapenda nyomi? nilikuwa sijui, Zitto akijaza watu kwenye ACT yake mnaponda ila chadomo ikijaza mnasifia. hata hamueleweki nyie viumbe.

 
kumbe na chadema wanapenda nyomi? Nilikuwa sijui, zitto akijaza watu kwenye act yake mnaponda ila chadomo ikijaza mnasifia. Hata hamueleweki nyie viumbe.
usipende kujitoa ufahamu wewe,imebidi tuweke hizi picha kutokana na msemaji wa chama chenu act kuja hapa na kuanza kupotosha uma. Sasa kwasababu yeye ameogopa kuja hapa akakutuma wewe mjumbe ni vyema ukamfikishia salam
 
.
Chenge damu ya wale wanawake aliowaua kwenye bajaji yao Dar wakielekea airport inamlilia. hatakaa atulize moya hadi anaenda kaburini.
.

Utakuwa she..tani wewe umejuaje hayo
 
Ccm kubali yaishe,ndo basi tena mziki wa chadema hamuuwezi tena!

Yaani Chenge mwaka huu atapata ugonjwa wa moyo na kama si kujiua anaweza kupata heart atak na kufa moja kwa moja
 
Tumeishachukua RB hapa polisi tunarudi ofisini kauangalia madhara yaliyotokea nitawapa taarifa kamili kama kuna mtu ameumizwa.

vurugu mfanye wenyewe alafu mnachukua rb, msitafute umaarufu kupitia damu za watu fanyeni siasa safi kama za Act na CCM
 
Last edited by a moderator:
picha imepigwa kiufundi,ndo maana wanechukua toka angle moja.
watu si wengi kivile
 
Mwl wa act wazamendo yuko wapi afute Uzi wake kwamba chadema haijafanya mkutano bariadi kwa kukosa watu?
 
Mwl kaijage ban inakuhusu ushabik wa act na cdm umezid hapa jukwaan
 
Halafu mwl.kaijage asipopigwa ban mood ntajua mnatumiwa na ACT haiwezekani mtu analeta uzushi humu jukwaa linakosa hadhi kwa habari za udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…