PICHA:Mfumo wa Kisasa wa Kutrack Gari

vunjo

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,323
2,607
Huu ndio mfumo wa kisasa utaweza kutrack gari kupitia simu yako kwa bei poa
Email:ejngalewa500@gmail.com
Phone:0764818022
Screenshot_20170601-113346.png
Screenshot_20170614-131852.png
Screenshot_20170823-154212.png
Screenshot_20170516-174330.png

:
Screenshot_20170528-195535.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa maelezo basi.. Unaweka vipi? Na gharama zake, hivi kwnn matangazo ni kazi ngumu sana nyie binadamu?
 
Toa maelezo basi.. Unaweka vipi? Na gharama zake, hivi kwnn matangazo ni kazi ngumu sana nyie binadamu?
Hicho kifaa tuna ficha ndani ya dashboard ya gari yako ni kidogo sana sio rahisi mtu kugundua kama umefunga hicho kifaa. Gharama ni Tsh.400,000 ada ya mwaka Tsh.80,000 device na system ni kutoka urusi sio china.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kazi nzuri, ila najiuliza kwani kifaa kutoka Urusi ni sifa zaidi kiongozi?

Tofauti nikubwa sana kwanza kina dumu kwa muda mrefu pia pia uwezo wa kurecord kwa muda mrefu kama gari itapita sehemu hakuna network. System yao inaonesha vitu vingi kwa wakati mmoja kama real time location,street address,speed,parking duration,working hours and mileage,google satellite,engine cut off vyote hivyo utapata katika mobile app yetu. Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kifaa tuna ficha ndani ya dashboard ya gari yako ni kidogo sana sio rahisi mtu kugundua kama umefunga hicho kifaa. Gharama ni Tsh.400,000 ada ya mwaka Tsh.80,000 device na system ni kutoka urusi sio china.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mmnh.. Nishakijua kinauzwa Marekani na ni bei rahisi sana kule, pia kiko kidogo kama sarafu ya sh 10 ya zamani, kinatumia GPS

Bei yake kama $ 35 hv.. Ww unauza 400,000? Sahau wateja
 
Hizo unazoongelea ni za ku track funguo au wallet zinatumia Bluetooth ni tofauti na tunazofunga katika magari zinatumia sim card.
Weka picha hiyo ya $35 na specification zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom