Akiwa katika viwanja vya shule ya kiongwile mjini ifakara akimnadi mgombea udiwani wa kata ya ifakara dogo Peter lijualikali. Alizungumza mambo mengi lakini kubwa ni kuhusu rasimu ya katiba inapitiwa na wanasheria wa chama neno hadi neno na baadae kuwasilishwa katika kamati kuu. Hila alisisitiza suala la wakuu wa mikoa na wilaya ni lazima waondolewe kwy rasimu hii.
safi sana hakuna kulala,huu mchakamchaka umewaduwaza wana ccm!!!wananchi wamechoka bwana miaka 51,hali inazidi kuwa mbaya kwa mtanzania isipokuwa kwa wachache wala 10% za mikataba hewa!
Tulianza na Mungu, tutamaliza na mungu; kazi inaendelea hadi magamba yatoke.
Kwenye Ma-DC na RC Kunahitaji umakini na michango mingi sana ili tuwaondoe. naomba watanzania wapenda haki na maendeleo ya nchi yao tuwakatae Viongozi hawa ambao huteuliwa ki-chama na si katika mwelekeo wa kusukyma gurudumu la maendeleo.
i said it.....chama kina watu makini,rasimu hii itapitiwa hatua kwa hatua kisha msemaji wa chama atatoa tamko......Sikukosea kujiunga na cdm,chama unachoona progress yake hatua kwa hatua pamoja na changamoto za kina Mandevu
Kilombero hatuna mbunge, mteketa ni mteuliwa wa tume ya uchaguzi, wananchi wa kilombero mbunge wetu amefariki(bi regia mtema) tunasubiri tume iitishe uchaguzi tuchague mbunge mwingine. M4C daima mpaka kieleweke.