Mkojo unakuwa uchafu buliozalishwa mwilini baada ya metabolism process, uchafu huu unajumuisha chloride, sodium, potassium, creatine na ions nyingine Pia organic na inorganic matters. Hivi vyote vinahitaji maji ili viweze kuchujwa kwenye figo kutoka kwenye damu ili vitoke kama mkojo.
Usipokunywa maji ya kutosha uchafu huu hufanya vijiwe kama chumvi ya mawe kwenye figo na huleta maumivu makali sana.
kisu cha ngariba
Maji ya uvuguvugu yanaingia kwenye system haraka, maji ya baridi unabidi yawe warmed up kuwa sawa na body temperatureUmeelezea vizuri Best na Wataalam kunywa maji ya moto asubuhi baada ya kuamka kabla ya kutia chochote kinywani husaidia sana katika kusafisha figo na wengine siku hizi hawanywi kabisa maji ya baridi bali ni ya moto tu. Nina rafiki yangu aliwahi kuniambia Wachina wengi maji yao ya kunywa ni ya moto tu kwani wanaamini it is healthy to drink hot water as compared to cold water.
Thanks for sharing Best.
Konyagi na pombe kali huvilainisha vyote,wewe kunywa pombe kali za kutosha kwa wiki itasaidia hata maji uknywa nusu lita kwa wiki au lita kwa mwezi poa tu.Vipi pia tukinywa bia zaidi?
Konyagi na pombe kali huvilainisha vyote,wewe kunywa pombe kali za kutosha kwa wiki itasaidia hata maji uknywa nusu lita kwa wiki au lita kwa mwezi poa tu.
Mkuu huu ushauri wako ni kiboko lakini mimi ninaomba unipite tuKonyagi na pombe kali huvilainisha vyote,wewe kunywa pombe kali za kutosha kwa wiki itasaidia hata maji uknywa nusu lita kwa wiki au lita kwa mwezi poa tu.
hahahaaaaa ongeza nyingine mkuuAsante kwa taarifa,inatisha,nimeshakunywa lita1 fasta kwa kuanzia na siku ya leo..
Buliozaloshwa=uliozalishwaMkojo unakuwa uchafu buliozalishwa mwilini baada ya metabolism process, uchafu huu unajumuisha chloride, sodium, potassium, creatine na ions nyingine Pia organic na inorganic matters. Hivi vyote vinahitaji maji ili viweze kuchujwa kwenye figo kutoka kwenye damu ili vitoke kama mkojo.
Usipokunywa maji ya kutosha uchafu huu hufanya vijiwe kama chumvi ya mawe kwenye figo na huleta maumivu makali sana.
kisu cha ngariba
Je bia sio maji? suppose ukipiga kama 10 hapo si umeshapiga maji ya kutosha kabisaView attachment 711406
Unashauriwa kunywa maji zaidi lita 2 hadi 5 kila siku ili kuepuka mawe kutengenezeka kwenye figo.
Maji ndio husafisha seli na kuondoa sumu na kemikali zinazojitengeneza mwilini kuwa mawe.
Mawe haya hutengenezeka kirahisi wasipokunywa maji ya kutosha
Chukua hatua, Okoa fedha na Maisha.
sawa nshakupitaMkuu huu ushauri wako ni kiboko lakini mimi ninaomba unipite tu
Kama Itakua nimeelewa vizuri kilichosemwa ni kuwa unywaji wa maji utasaidia kutopata mawe ktk FigoIkifikia hatua hiyo figo itasafishika kwa maji mengi???
Acha kutisha watu hakuna kitu kama hichoView attachment 711406
Unashauriwa kunywa maji zaidi lita 2 hadi 5 kila siku ili kuepuka mawe kutengenezeka kwenye figo.
Maji ndio husafisha seli na kuondoa sumu na kemikali zinazojitengeneza mwilini kuwa mawe.
Mawe haya hutengenezeka kirahisi wasipokunywa maji ya kutosha
Chukua hatua, Okoa fedha na Maisha.
Uko vizur mkuu,hongera!!! dalili zake ni zipi na vipi kuhusu matibabu yake?Mkojo unakuwa uchafu uliozalishwa mwilini baada ya metabolism process, uchafu huu unajumuisha chloride, sodium, potassium, creatine na ions nyingine Pia organic na inorganic matters. Hivi vyote vinahitaji maji ili viweze kuchujwa kwenye figo kutoka kwenye damu ili vitoke kama mkojo.
Usipokunywa maji ya kutosha uchafu huu hufanya vijiwe kama chumvi ya mawe kwenye figo na huleta maumivu makali sana.
kisu cha ngariba
Itakua ulikua unapga picha kama mimi..nilidhan yanafika size ya kumuulia mwiziI was thinking wrong on kidney stones