Picha: Mama pinda ala nondozzzz

Hajaingia kwa merit na bado atakuwa kihiyo hadi asome. Chini ya usultani wa mumewe ulitegemea nini Remote mwanangu?
 
Mwanangu Ciello watambeba kama walivyofanya kwenye ujumbe wa NEC. Si unajua tena dili za kitanzania. Kama prof atambeba akateuliwa kwenye bodi na kupata chake unadhani atashindwa kupeta? Kama wengi wa maprof ingawa si wote wanatuhumiwa kupewa hongo ya ngono watakataa ya huyu tena mzito?
 
Safi sana mama Tunu, mwenzake Salma yuko busy na mipasho ya kisisiemu sisiemu na hata sijui kama hata ile English course aliimaliza!
 

kumbe ngoja nikajoin nipige masters ya sheria kwa 10 years! Intresting
 
Namshauri amshauri kihiyo Salma Kikwete naye aingie darasani badala ya kupoteza muda na pesa yetu kwenye kuzurura.

We unataka aombe kwa baba mwanaasha nondo/honda/vibuti/nyenzo zihalalishwe kwenye mitihani
 
jamani Mhe Pinda mbona kanuna? au ndio tabasamu? nimependa tabasamu la Tunu ktk picha ya pili aliyopiga na huyo dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…