Wanamaliza ardhi, wangechoma watu kama Wahindi au wazike kwenye makaburi ya jumuiya yaliyotengwa.Umejifunza nini kwenye hii picha?
Wachaga kwa kuenzi wafu na wapendwa wao waliotangulia hakika wapewe maua yao
Picha[emoji1313]View attachment 3338385
Wajaribu kuweka maghorofa ya makaburi kama walatino, ardhi ni Mali.Moja ya desturi nisiyoikubali kabisa kwa kizazi kijacho Kilimanjaro ama Moshi hai na rombo itakuwa eneo la makaburi kubwa kabisa katika uso wa tz NI nadra sana ukute nyumba haina kaburi au shamba Halina kaburi na wanayaweka karibu kabisa na makazi yao..huweki kuta MTU anazikwa katikati ya shamba...kabla ya hapo Kuna jamii (ukoo)ulikuwa unazika ndani ya nyumba zile misonge ya makuti...baada ya miaka miwili wanafukua kwa nje na kwenda kuitupa mifupa sehemu Fulani iliyotengwa kwa ajili hio(story behind)NI kuwa katika kipindi hicho Cha miaka miwili endapo watafukua mwili na kukuta haujamalizika kuoza wanajua aliuwawa kwa nguvu za kishirikina....miaka ya 50 ukristo ulipoingia ndio ukaanza taratibu za kuzika kwenye maeneo ya kanisa nayo yakajaa watu wakaanza kuzikia makwao...kwao baada ya muda ukiendelea huu utaratibu wa kuzika kila mtu mgombani kutakuwa grave yard Wala hakutakuwa na kahawa Wala mgomba...
Umrpata wapi haki ya kupiga picha na kisambaza makaburi ya wachaga?Umejifunza nini kwenye hii picha?
Wachaga kwa kuenzi wafu na wapendwa wao waliotangulia hakika wapewe maua yao
Picha[emoji1313]View attachment 3338385
πππkuwapa shida tu marehu siku ya ufufuo waanze kuvunja mizege
mpaka wafike mbinguni pepo imejaa..
lakini waislam fasta tu mbiooo
π€£Ningeshangaa usipite huku π
ππ€£
Sema nini ukitaka kujua akili ya mtu angalia kaburi lake
Ukitaka kujua akili ya jamiii angalia eneo lake la makaburi
ππππ€£πππππNakaziaHawajawazid Wahadzabe.
Haya ni ya juzi. Tuonyeshe na 1990Umejifunza nini kwenye hii picha?
Wachaga kwa kuenzi wafu na wapendwa wao waliotangulia hakika wapewe maua yao
Picha[emoji1313]View attachment 3338385
Chap kwa haraka kubabake πππππkuwapa shida tu marehu siku ya ufufuo waanze kuvunja mizege
mpaka wafike mbinguni pepo imejaa..
lakini waislam fasta tu mbiooo
Useng3 kujali maiti kuliko walio hai ni upumbavu wa mwafrica hapo unaweza kuta pesa iliyotumika ajawai kumpa mtaji mtoto wake wa kumzaa au unakuta watoto wanasoma shule mbovu nkUmejifunza nini kwenye hii picha?
Wachaga kwa kuenzi wafu na wapendwa wao waliotangulia hakika wapewe maua yao
Picha[emoji1313]View attachment 3338385
Amin.ππππ€£πππππNakazia
Jamii Bora Sana Tanzania