Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Sep 20, 2015 #2 Sura zao hazina hata nuru kama EL Attachments 1442753851064.jpg 63.1 KB · Views: 2,812
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,099 Sep 20, 2015 #3 Mbona wanaangalia kama wanasubiri penalt kama itawapa ushindi
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,904 Sep 20, 2015 #4 Mama kamkimbia mzee baada ya kuonekana kwa babu wa samunge. swissme
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,083 Sep 20, 2015 #5 Sijawahi ona picha ya mama Magufuli anatabasam akiwa na mumewe...jamaa litakuwa linarndekeza mfumo dume!
Sijawahi ona picha ya mama Magufuli anatabasam akiwa na mumewe...jamaa litakuwa linarndekeza mfumo dume!
K kasenene JF-Expert Member Joined Jun 6, 2008 Posts 1,632 Reaction score 2,414 Sep 20, 2015 #6 Hivi magufuri ataishije mara baada ya uchaguzi manake hata ubunge hana tena mke na watoto wataishije?
Hivi magufuri ataishije mara baada ya uchaguzi manake hata ubunge hana tena mke na watoto wataishije?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Sep 20, 2015 #7 Riwa said: Sijawahi ona picha ya mama Magufuli anatabasam akiwa na mumewe...jamaa litakuwa linarndekeza mfumo dume! Click to expand... + chepukozzzz.Mama lazima akose furaha.
Riwa said: Sijawahi ona picha ya mama Magufuli anatabasam akiwa na mumewe...jamaa litakuwa linarndekeza mfumo dume! Click to expand... + chepukozzzz.Mama lazima akose furaha.
K kasenene JF-Expert Member Joined Jun 6, 2008 Posts 1,632 Reaction score 2,414 Sep 20, 2015 #8 Namwomba EL.amwoonee huruma hata viti maalum itamtosha
isambe JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 2,195 Reaction score 1,409 Sep 20, 2015 #9 kasenene said: Namwomba EL.amwoonee huruma hata viti maalum itamtosha Click to expand... wanabadilika wakiingia mjengoni , unadhani mbatia asingekuwepo mjengoni UKAWA ingekuwepo ? , i believe kuna watu wanajutia hisani zao sasa.
kasenene said: Namwomba EL.amwoonee huruma hata viti maalum itamtosha Click to expand... wanabadilika wakiingia mjengoni , unadhani mbatia asingekuwepo mjengoni UKAWA ingekuwepo ? , i believe kuna watu wanajutia hisani zao sasa.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Sep 20, 2015 #10 Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Sep 20, 2015 #11 Jile79 said: Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu Click to expand... Hahahaaa mkuu hili suala litakuwa na ukweli ndani yake. Haiwezekani wanandoa tena kwenye ngazi ya kugombea urais kuleta sintofahamu hii.
Jile79 said: Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu Click to expand... Hahahaaa mkuu hili suala litakuwa na ukweli ndani yake. Haiwezekani wanandoa tena kwenye ngazi ya kugombea urais kuleta sintofahamu hii.
Malyakishu JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,968 Reaction score 2,351 Sep 20, 2015 #12 nifah said: + chepukozzzz.Mama lazima akose furaha. Click to expand... Lol eti mahaba yake kaonyesha kwa baby boy wake kamshika mkono
nifah said: + chepukozzzz.Mama lazima akose furaha. Click to expand... Lol eti mahaba yake kaonyesha kwa baby boy wake kamshika mkono
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Sep 20, 2015 #13 mbona wamesimama mbali mbali!
L ligera JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 2,646 Reaction score 1,172 Sep 20, 2015 #14 itabidi tuancike uzi unao uliza hivi magufuri ana mke kweli
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,659 Sep 20, 2015 #15 Mbna wamenuniana ivo.....utafikir ndoa ya kulazimishwa na wazee
N Ndondobwila JF-Expert Member Joined Jun 9, 2015 Posts 562 Reaction score 409 Sep 20, 2015 #16 Jile79 said: Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu Click to expand... Sasa hivi ana Mama Jerry
Jile79 said: Hiyo picha ya 1980. Kwa sasa magufuli ni bachela sugu Click to expand... Sasa hivi ana Mama Jerry
JT2014 JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 1,863 Reaction score 1,374 Sep 20, 2015 #18 😎:frusty:
WayOut JF-Expert Member Joined Jun 18, 2015 Posts 752 Reaction score 173 Sep 20, 2015 #19 MNANSO said: Japokua sio timu magufuli lakini kiasi anajali familia Click to expand... Tupo kikazi zaidi mahaba tunawaachia POPOBAWA
MNANSO said: Japokua sio timu magufuli lakini kiasi anajali familia Click to expand... Tupo kikazi zaidi mahaba tunawaachia POPOBAWA
I inspire Senior Member Joined Jul 31, 2015 Posts 122 Reaction score 10 Sep 20, 2015 #20 aliambiwa nn na TB JOSHUO kuhusu kugombea uraisi ....haahahhahaahahhaahah