Jumapili, January 4, 2015
Mgombea Urais wa CCM Dr John Magufuli ameendelea kuwa karibu zaidi na wananchi baada ya kuingia jikoni kusaidiana na wanawake wa Geita kupika ugali.
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.
vyema sana hayo maisha ameyaishi na anayaishi si mtu wa maigizo ila anatenda na kwa ukaribu huu tutafika mbali Tanzania tumempata rais mwenye mapenz ya dhati na watanzania
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
huezi kuwasidia wakati hujajua ni kwa namna gani wanateseka kama ni mateso,ndiyo maana anaungana nao then anawaandalia mazingira mazuri ya kupikia,fikiri kabla hujaandika na ndiyo maana ya kuwa field ayaone matatizo ya watu na awaombe wamchague ili ayatatue:A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade:
Tunataka Rais Wa Kutatua Matatizo Ya Wananchi Hatutaki Rais Wa Kushinda Jikoni Kukaangiza Vinono Utadhani Bachelb.Na Hy Ni Kigezo Tosha Cha Kumnyima Kura.
Kama kiongozi alipaswa kuja na njia ya kuwasaidia hawa wakinamama wapike mahala ambapo hakuna moshi. Baadae wanaonekana wachawi kwa macho mekundu alafu wanauliwa.
Cha ajabu anafurahi maana yake amelizika na hicho wanachofanya.
HAYA NI MADHARA YA KUZUNGUKWA NA WASANII(BONGO MUVI, KIKOSI CHA MATUSI, COMEDY NA BONGO FLEVA)KWA MUDA WOTE WA KAMPENI.
"A vote is like a rifle: its usefulness depends upon the character of the user ,vote for magufuli for better development sustanability and well being of Tanzania people
A vote is like a rifle: its usefulness depends upon the character of the user ,vote for magufuli for better development sustanability and well being of Tanzania people